sw_jos_text_reg/15/21.txt

1 line
212 B
Plaintext

\v 21 Miji iliyo mali ya kabila la Yuda katika upande wa kusini, kuelekea mpaka wa Edomu, ilikuwa ni Kabzeeli, Eda, Yaguri, \v 22 Kina, Dimona, Adada, \v 23 Kadeshi, Hazor, Ithinani, \v 24 Zifu, Telemu, Bealothi.