\v 55 Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta, \v 56 Yezreeli, Yokdeamu, Zanoa, \v 57 Kaini, Gibea, na Timna. Hii ilikuwa ni miji kumi, kujumuisha na vijiji vyake.