diff --git a/10/09.txt b/10/09.txt index d2d120f..0874d52 100644 --- a/10/09.txt +++ b/10/09.txt @@ -1 +1 @@ -\v 9 Baada ya kutembea usiku kucha kutoka Giligali, ghafla Yoshua aliwafikilia. \v 10 Na Yahweh alichanganya maadui mbele za Israeli - ambao waliwaua mauaji makubwa mno huko Gibeoni, na wale waliowafuata njiani iendayo Bethi Horoni, nao waliuwaua katika njia iendayo Azeka na Makeda. \ No newline at end of file +\v 9 Baada ya kutembea usiku kucha kutoka Giligali, ghafla Yoshua aliwafikilia. \v 10 Na Yahweh aliwachanganya maadui mbele za Israeli - ambao waliwaua mauaji makubwa mno huko Gibeoni, na wale waliowafuata njiani iendayo Bethi Horoni, nao waliuwaua katika njia iendayo Azeka na Makeda. \ No newline at end of file