Tue Sep 20 2022 09:25:51 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-20 09:25:53 +03:00
parent fb616d053f
commit a4ea7dbfe5
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 36 Kisha Joshua na Israeli wote wakatoka Egloni na kwenda Hebroni. Wakainua vita dhidi yake. \v 37 Waliuteka mji na kuwaua kwa upanga watu wote ndani yake pamoja na mfalme wake, kujumuisha na vijiji vyote vilivyoizunguka. Waliteketeza kabisa kila kiumbe hai ndani yake, hawakuacha hata mtu mmoja aliyesalia, ni sawa sawa na vile Yoshua alivyoitenda Egloni. Aliiteketeza kabisa, na kila kiumbe hai ndani yake.
\v 36 Kisha Joshua na Israeli wote wakatoka Egloni na kwenda Hebroni. Wakapigana vita dhidi yake. \v 37 Waliuteka mji na kuwaua kwa upanga watu wote ndani yake pamoja na mfalme wake, kujumuisha na vijiji vyote vilivyoizunguka. Waliteketeza kabisa kila kiumbe hai ndani yake, hawakuacha hata mtu mmoja aliyesalia, ni sawa sawa na vile Yoshua alivyoitenda Egloni. Aliiteketeza kabisa, na kila kiumbe hai ndani yake.