Tue Oct 11 2022 09:49:06 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-11 09:49:07 +03:00
parent 5c1b5408fb
commit 280aec277d
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Kwahiyo, Waisraeli wakaichagia Kedeshi iliyoko Galilaya katika nchi ya milima ya Nafutali, Shekemu katika nchi ya milima ya Efraimu, na Kiriathi Arba (ambayo ndio Herbroni) katika nchi ya milima ya Yuda. \v 8 Katika ng'ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko, walichagua mji wa Bezeri huko nyikani katika nyanda za kabila la Rubeni; na Ramothi Gileadi kutoka kabila la Gadi; na Golani katika Bashani, kutoka katika kabila la Manase.
\v 7 Kwahiyo, Waisraeli wakaichagua Kedeshi iliyoko Galilaya katika nchi ya milima ya Nafutali, Shekemu katika nchi ya milima ya Efraimu, na Kiriathi Arba (ambayo ndio Herbroni) katika nchi ya milima ya Yuda. \v 8 Katika ng'ambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko, walichagua mji wa Bezeri huko nyikani katika nyanda za kabila la Rubeni; na Ramothi Gileadi kutoka kabila la Gadi; na Golani katika Bashani, kutoka katika kabila la Manase.