diff --git a/08/10.txt b/08/10.txt index 101be9d..d62c4d7 100644 --- a/08/10.txt +++ b/08/10.txt @@ -1 +1 @@ -\v 10 Yoshua aliamka asubuhi na mapema na akawaandaa tayari wanajeshi wake, Yoshua na wazee wa Israeli walishambuliwa watu wa Ai. \v 11 Watu wote wa vita waliokuwa pamoja naye walipanda na kuukaribia mji. Walisogea karibu na mji na wakapiga kambi sehemu ya kasikazini mwa Ai. Kulikuwa na bonde kati yao na Ai. \v 12 Alichukua watu wapatao elfu tano hivi na akawaweka katika hali ya kuvizia katika upande wa magharibi mwa mji kati ya Betheli na Ai. \ No newline at end of file +\v 10 Yoshua aliamka asubuhi na mapema na akawaandaa tayari wanajeshi wake, Yoshua na wazee wa Israeli walishambulia watu wa Ai. \v 11 Watu wote wa vita waliokuwa pamoja naye walipanda na kuukaribia mji. Walisogea karibu na mji na wakapiga kambi sehemu ya kasikazini mwa Ai. Kulikuwa na bonde kati yao na Ai. \v 12 Alichukua watu wapatao elfu tano hivi na akawaweka katika hali ya kuvizia katika upande wa magharibi mwa mji kati ya Betheli na Ai. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 824afe3..5d7e4b5 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -123,6 +123,7 @@ "08-03", "08-05", "08-08", + "08-10", "08-13", "08-15", "08-18",