sw_jos_text_reg/10/06.txt

1 line
383 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 6 Watu wa Gibeoni walituma ujumbe kwa Yoshua na kwa jeshi huko Giligali. Walisema, " Upesi! Msiutoe mkono wenu kutoka kwa watumishi wenu. Mje haraka na mtuokoe. Mtusaide, maana wafalme wote wa Waamori wanaoishi katika nchi ya milima wamekusanyika kwa pamoja ili watushambulie. \v 7 "Yoshua alipanda kutoka Giligali, yeye na watu wote wa vita pamoja naye, na watu wote wapiganaji.