sw_jos_text_reg/15/16.txt

1 line
246 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 16 Kalebu akasema, "Mtu atakayeishambulia Kiriathi Seferi na kuiteka, nitampa binti yangau, Akisa, awe mke wake. \v 17 Wakati huo Othinieli mwana wa Kenazi, kaka yake na Kalebu, aliuteka mji, na Kalebu alimpatia Akisa, binti yake awe mke wake.