sw_job_text_reg/30/22.txt

1 line
179 B
Plaintext

\v 22 Unaniinua katika upepo na kuufanya unikokote; unanirusha huku na kule katika dhoruba. \v 23 Kwa maana najua ya kwamba utanipeleka mautini, nyumba ya hatima kwa viumbe vyote.