sw_job_text_reg/37/14.txt

1 line
183 B
Plaintext

\v 14 Yasikilize haya, Ayubu; acha na ufikiri juu matendo ya ajabu ya Mungu. \v 15 Je unajua ni kwa namna gani Mungu hushurutisha mawingu na kuufanya mwanga wa radi ung'ae ndani yake?