sw_job_text_reg/37/10.txt

1 line
173 B
Plaintext

\v 10 Barafu imetolewa kwa pumzi ya Mungu; upana wa maji umeganda kama chuma. \v 11 Hakika, huyapima mawingu manene yenye unyevu; yeye huusambaza mwanga wake katika mawingu.