sw_job_text_reg/32/20.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 20 Nitazungumza ili kwamba niweze kuburudishwa; nitafungua kimya changu na kusema. \v 21 Sitaonesha upendeleo; wala sitatoa sifa za majina kwa mtu yeyote. \v 22 Kwa kuwa sijui namna ya kutoa sifa; kama nitafanya hivyo, Muumba wangu atanikatilia mimi mbali.