sw_job_text_reg/32/17.txt

1 line
253 B
Plaintext

\v 17 La, nitajibu pia upande wangu; Nitawaambia pia ufahamu wangu. \v 18 Kwa kuwa nimejawa na maneno mengi, roho ndani yangu inanisukuma. \v 19 Tazama, kifua changu ni kama divai yenye chachu ambayo haina tundu; kama viriba vipya, kiko tayari kupasuka.