sw_job_text_reg/32/15.txt

1 line
216 B
Plaintext

\v 15 Hawa watu watatu wamepatwa na mshangao; hawawezi kuendelea kumjibu Ayubu; hawana neno zaidi la kusema. \v 16 Je ninapaswa kusubiria kwasababu hawazungumzi, kwa kuwa wamesimama pale kimya na wala hawajibu zaidi?