sw_job_text_reg/32/08.txt

1 line
247 B
Plaintext

\v 8 Lakini kuna roho ndani ya mtu; pumzi ya Mwenye nguvu humpa yeye ufahamu. \v 9 Si tu watu wakubwa ndio wenye hekima, wala watu wazee pekee ambao hufahamu haki. \v 10 Hivyo basi nakwambia wewe, "Nisikilizeni mimi; Nitakwambia pia uelewa wangu.'