sw_job_text_reg/30/04.txt

1 line
291 B
Plaintext

\v 4 Walichuma mche chumvi na majani ya vichaka; mizizi ya mti wa ufagio ilikuwa ndiyo chakula chao. \v 5 Waliondolewa miongoni mwa watu waliopiga kelele nyuma yao kama ambavyo mtu angempigia kelele mwizi. \v 6 Hivyo walipaswa kuishi katika mabonde ya mto, katika mashimo ya ardhi na miamba.