sw_job_text_reg/14/04.txt

1 line
362 B
Plaintext

\v 4 Ni nani anayeweza kukileta kitu safi kutoka katika kitu kichafu? Hakuna awaye yote. \v 5 Siku za mwanadamu zimeamriwa. Idadi ya miezi yake unayo wewe; Mungu umekiweka kikomo chake ambacho hawezi kukivuka. \v 6 Tazama mbali kutoka kwake kwamba yeye aweze kupumzika, ili kwamba aweze kufurahia siku yake kama mtu aliyekodishwa kama yeye anaweza kufanya hivyo.