sw_job_text_reg/07/08.txt

1 line
284 B
Plaintext

\v 8 Jicho lake Mungu, huyo anionaye mimi, halitaniangalia tena; Macho ya Mungu yatanitazama, lakini sitakuwako. \v 9 kama vile wingu liishavyo na kutoweka, hivyo wale waendao sheoli hawatarudi tena kabisa. \v 10 Yeye hatarudi tena nyumbani kwake, wala mahali pake hapatamtambua tena.