sw_job_text_reg/04/07.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 7 Tafakari juu ya hili, tafadhari: ni nani aliyeangamia akiwa hana kosa? Au ni lini watu wakamilifu walikatiliwa mbali? \v 8 Kutokana na vile nilivyoona, wale walimao uovu na kupanda taabu huvuna hayo. \v 9 Kwa pumzi ya Mungu huangamia; kwa mlipuko wa hasira zake huteketea.