sw_job_text_reg/04/04.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 4 Maneno yako yamemsaidia yeye mwanamme aliyekuwa anaanguka; wewe umeyaimarisha magoti dhaifu. \v 5 Lakini sasa matatizo yamekuja kwako, na wewe umechoka; yanakugusa wewe, na wewe umetatizika. \v 6 Je si hofu yako imani yako, na ukamilifu wa njia zako tumaini lako?