sw_job_text_reg/04/01.txt

1 line
267 B
Plaintext

\c 4 \v 1 Kisha Elifazi kutoka kabila la temani akajibu na kusema, \v 2 Kama mtu yeyote akijaribu kuzungumza na wewe, je utakosa ustahimilivu? Lakini ni nani anaweza kujizuia asizungumze? \v 3 Tazama, wewe umewafunza wengi; wewe imeipa nguvu mikono iliyokuwa dhaifu.