sw_job_text_reg/03/20.txt

1 line
287 B
Plaintext

\v 20 Kwa nini yeye aliye mashakani kupewa mwanga? Kwa nini hao wenye uchungu moyoni kupewa uhai, \v 21 ambao hutamani mauti lakini hawapati; ambao huyachimbulia mauti zaidi ya kutafuta hazina iliyofichika? \v 22 Kwa nini kupewa mwanga ambao hushangilia mno na kufurahi walionapo kaburi?