sw_job_text_reg/03/08.txt

1 line
304 B
Plaintext

\v 8 Na wailani siku hiyo, hao wafahamuo namna ya kumuamsha lewiathani. \v 9 Nyota za mapambazuko yake zitiwe giza. Siku hiyo iutafute mwanga, lakini isiupate; wala makope ya mapambazuko isiyaone, \v 10 kwasababu haikuifunga milango ya tumbo la mama yangu, na kwasababu haikunifichia taabu machoni pangu.