Sat Jul 02 2022 12:24:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-02 12:24:57 +03:00
commit cffd6a76d0
436 changed files with 502 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kulikuwa na mtu katika nchi ya Usi jina lake Ayubu; na Ayubu alikuwa mwenye haki na mkamilifu, mmoja aliyemcha Mungu na kuepukana na \v 2 uovu. Wakazaliwa kwake watoto saba wa kiume na mabinti watatu. \v 3 Alimiliki kondoo elfu saba, ngamia elfu tatu, jozi mia moja za maksai, na punda mia tano na idadi kubwa ya watumishi. Mtu huyu alikuwa mtu mkuu wa watu wote wa mashariki.

1
01/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kwa siku yake kila mtoto wa kiume, hufanya karamu katika nyumba yake. Wakatuma na kuwaita dada zao watatu waje kula na kunywa pamoja nao. \v 5 Baada ya siku za karamu zilipokuwa zimetimia, Ayubu hutuma kwao na kuwatakasa. Aliamka asubuhi na mapema na kutoa sadaka za kuteketezwa kwa kila mtoto wake, kwa kusema, "Yawezekana kwamba wanangu wamefanya dhambi na kumkufuru Mungu mioyoni mwao." Siku zote Ayubu alifanya hivi.

1
01/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Kisha ilikuwa siku ambayo watoto wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za BWANA. Shetani pia akaenda pamoja nao. \v 7 BWANA akamuuliza Shetani, "Umetoka wapi wewe?" Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Natoka kuzunguka zunguka duniani, kutembea huku na huko humo." \v 8 BWANA akamuuliza Shetani, "Je umemwangalia mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mwenye haki na mkamilifu, mmoja aliyemcha Mungu na kuepukana na uovu."

1
01/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Je Ayubu amcha Mungu bila sababu? \v 10 Wewe hukumwekea kinga pande zote, kuzunguka nyumba yake, na kuzunguka vitu vyote alivyo navyo kutoka kila upande? Wewe umebariki kazi za mikono yake, na mifugo yake imeongezeka katika nchi. \v 11 Lakini sasa nyosha mkono wako na uguse yote hayo aliyonayo, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako." \v 12 BWANA akamwambia Shetani, "Tazama, hayo yote aliyonayo yamo mkononi mwako. Isipokuwa juu yake yeye mwenyewe usinyoshe mkono wako." Kisha Shetani akatoka mbele za BWANA.

1
01/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Ilitokea siku moja, wana wake wa kiume na binti zake walipokuwa wakila na kunywa mvinyo nyumbani mwa ndugu yao mkubwa. \v 14 Mjumbe akamfikia Ayubu na kusema, "Hao maksai walikuwa wakilima na punda walikuwa wakichunga karibu nao. \v 15 Waseba wakawaangukia na kutoweka nao. Kwa wale watumishi, wamewaua kwa makali ya upanga. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari."

1
01/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Wakati alipokuwa akiendelea kusema, akatokea mwingine pia na kusema, "Moto wa Mungu umeanguka toka mbinguni na kuwateketeza kondoo na watumishi. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari." \v 17 Wakati alipokuwa akiendelea kusema, akatokea mwingine pia na kusema, "Wakaldayo walifanya vikundi vitatu, wakawashambulia ngamia, na kuondoka nao. Kwa wale watumishi, wamewaua kwa makali ya upanga. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari."

1
01/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wakati alipokuwa akiendelea kusema, akatokea mwingine pia na kusema, "Wana wako wa kiume na binti zako walikuwa wakila na kunywa mvinyo nyumbani mwa ndugu yao mkubwa. \v 19 Upepo wenye nguvu ulitokea jangwani na ukapiga pembe nne za nyumba. Ikawaangukia vijana hao, na wakafa wote. Mimi pekee nimeokoka kukuletea habari.

1
01/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha Ayubu akainuka, akalirarua joho lake, akanyoa kichwa chake, akaanguka chini kifudifudi na kumwabudu Mungu. \v 21 Akasema, "Mimi nilitoka tumboni mwa mama yangu ni uchi, nami nitakuwa uchi wakati nitakaporudi huko. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa. Jina la BWANA libarikiwe." \v 22 Katika mambo hayo yote, Ayubu hakutenda dhambi, wala hakumwazia Mungu kwa uovu.

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha kulikuwa na siku wana wa Mungu walipokwenda kujihudhurisha mbele za BWANA. Shetani pia alikwenda kati yao kujihudhulisha mbele za BWANA. \v 2 BWANA akamuuliza Shetani, "umetoka wapi wewe?" Kisha Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Natoka kuzunguka zunguka duniani, kutembea huku na huko humo."

1
02/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 BWANA akamuuliza Shetani, "Je umemwangalia mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hapana mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mwenye haki na mkamilifu, mmoja aliye mcha Mungu na kuepukana na uovu. Hata sasa anashikamana na utimilifu wake, japokuwa ulinichochea juu yake, nimwangamize pasipo sababu."

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Shetani akamjibu BWANA na kusema, "Ngozi kwa ngozi, kweli; mtu atatoa vyote alivyo navyo kwaajili ya uhai wake. \v 5 Lakini nyosha mkono wako sasa na uguse mifupa yake na nyama yake, na uone kama hatakufuru mbele ya uso wako." \v 6 BWANA akamwambia Shetani, "Tazama, yumo mkononi mwako; ni uhai wake tu ambao lazima uutunze."

1
02/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Kisha Shetani akatoka mbele ya uso wa BWANA. Akampiga Ayubu na majipu mabaya toka wayo wa mguu hadi kichwani. \v 8 Ayubu akachukua kipande cha kigae kujikunia, na akaketi chini majivuni.

1
02/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kisha mkewe akamuuliza, "Je hata sasa wewe unashikamana na utimilifu wako? Umkufuru Mungu na ufe. \v 10 Lakini yeye akamwambia, "Wewe unaongea kama mmoja wa hao wanawake wapumbavu waongeavyo. Je sisi tupate mema toka kwa Mungu na tusipate mabaya?" Katika mambo hayo yote, Ayubu hakutenda dhambi kwa midomo yake.

1
02/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Sasa wakati rafiki zake watatu wa Ayubu walipopata habari ya mabaya yaliyompata, kila mmoja wao akaja kutoka mahali pake: Elifazi Mtemani, Bildadi Mshuhi, na Sofari Mnaamathi. Wakatenga muda ili waende kuomboleza naye na kumfariji.

1
02/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Walipoinua macho yao wakiwa mbali, hawakuweza kumtambua. Wakapaza sauti zao na kulia; kila mmoja wao akararua joho lake na kurusha majivu hewani na juu ya kichwa chake. \v 13 Kisha wakaketi chini pamoja naye kwa muda wa siku saba-mchana na usiku. Hakuna hata mmoja aliyesema naye neno, kwa kuwa waliona kuwa huzuni yake ilikuwa kuu mno.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Baada ya hayo, Ayubu akafunua kinywa chake na kuilani siku aliyozaliwa. \v 2 Akasema, \v 3 "Na ipotelee mbali siku niliyozaliwa mimi, usiku uliosema, 'Mimba ya mtoto wa kiume imetungwa.'

1
03/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Siku hiyo na iwe giza; Mungu toka juu asiifikilie, wala mwanga usiiangazie. \v 5 Ishikwe na giza na giza la mauti liwe lake. Wingu na likae juu yake; kila kitu kiifanyacho siku kuwa giza kweli na kiitishe.

1
03/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Usiku huo, na ukamatwe na giza tororo. Usihesabiwe miongoni mwa siku za mwaka; na usiwekwe katika hesabu ya miezi. \v 7 Tazama, usiku huo na uwe tasa; na sauti ya shangwe isiwe ndani yake.

1
03/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Na wailani siku hiyo, hao wafahamuo namna ya kumuamsha lewiathani. \v 9 Nyota za mapambazuko yake zitiwe giza. Siku hiyo iutafute mwanga, lakini isiupate; wala makope ya mapambazuko isiyaone, \v 10 kwasababu haikuifunga milango ya tumbo la mama yangu, na kwasababu haikunifichia taabu machoni pangu.

1
03/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kwanini si-kufa wakati lipotokeza katika tumbo la uzazi? Kwanini sikuitoa roho yangu hapo mama aliponizaa? \v 12 kwanini magoti yake yalinipokea? Kwanini maziwa yake yanipokee hata ninyonye?

1
03/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Kwa sasa ningelikuwa nimelala chini kimya kimya. Ningelala usingizi na kupata pumziko \v 14 pamoja na wafalme na washauri wa dunia, ambao walijijengea makaburi ambayo sasa ni magofu.

1
03/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Au Ningelikuwa nimelala pamoja na wakuu wenye dhahabu, waliozijaza nyumba zao fedha. \v 16 Au pengine ningekuwa sijazaliwa, kama watoto wachanga wasio uona mwanga kabisa.

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Huko waovu huacha kusumbua; huko waliochoka hupumzika. \v 18 Huko wafungwa kwa pamoja hupata amani; hawaisikii sauti ya msimamizi wa watumwa. \v 19 Wote wadogo na watu maarufu wako huko; mtumishi yuko huru kwa bwana wake huko.

1
03/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kwa nini yeye aliye mashakani kupewa mwanga? Kwa nini hao wenye uchungu moyoni kupewa uhai, \v 21 ambao hutamani mauti lakini hawapati; ambao huyachimbulia mauti zaidi ya kutafuta hazina iliyofichika? \v 22 Kwa nini kupewa mwanga ambao hushangilia mno na kufurahi walionapo kaburi?

1
03/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Kwanini kupewa mwanga mtu ambaye njia zake zimefichika, mtu ambaye Mungu amemzungushia uwa? \v 24 Kwa kuwa kushusha kwangu pumzi kwatokea badala ya kula; kuugua kwangu kumemiminika kama maji.

1
03/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Maana jambo lile niliogopalo limenipata; nalo linitialo hofu limenijilia. \v 26 Mimi sioni raha, sipati utulivu, na sipati pumziko; badala yake huja taabu."

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Elifazi Mtemani akajibu na kusema, \v 2 Kama mtu yeyote akijaribu kuzungumza na wewe, je utakosa ustahimilivu? Lakini ni nani anaweza kujizuia asizungumze? \v 3 Tazama, wewe umewafunza wengi; wewe imeipa nguvu mikono iliyokuwa dhaifu.

1
04/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Maneno yako yamemsaidia yeye mwanamme aliyekuwa anaanguka; wewe umeyaimarisha magoti dhaifu. \v 5 Lakini sasa matatizo yamekuja kwako, na wewe umechoka; yanakugusa wewe, na wewe umetatizika. \v 6 Je si hofu yako imani yako, na ukamilifu wa njia zako tumaini lako?

1
04/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Tafakari juu ya hili, tafadhari: ni nani aliyeangamia akiwa hana kosa? Au ni lini watu wakamilifu walikatiliwa mbali? \v 8 Kutokana na vile nilivyoona, wale walimao uovu na kupanda taabu huvuna hayo. \v 9 Kwa pumzi ya Mungu huangamia; kwa mlipuko wa hasira zake huteketea.

1
04/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Kuunguruma kwa simba, sauti ya simba mkali, meno ya simba wadogo - yamevunjika. \v 11 Simba mzee huangamia kwa kukosa wahanga; watoto wa simba jike wametawanyiko kila mahali.

1
04/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Sasa nililetewa kwangu jambo fulani kisiri, na sikio langu likapokea uvumi kuhusu hilo. \v 13 Kisha yakaja mawazo kupitia ndoto wakati wa usiku, wakati uwaangukiwapo usingizi mzito watu..

1
04/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Ilikuwa usiku wakati nilipopatwa hofu na kutetemeka, na mifupa yangu yote ikatikisika. \v 15 Kisha nafsi ikapita mbele ya uso wangu, na nywele zangu za mwili zilisimama.

1
04/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Nafsi ilisimama kimya, lakini sikuweza kupambanua sura yake. Umbo lilikuwa mbele ya macho yangu; kulikuwa kimya, nami nikasikia sauti ikisema, \v 17 "Je binadamu anaweza kuwa mwenye haki zaidi kuliko Mungu? Je mtu anaweza kuwa msafi zaidi kuliko muumba wake?

1
04/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Tazama, kama Mungu hawaamini watumishi wake; kama hulaumu upumbavu wa malaika zake, \v 19 je si zaidi sana ukweli huu kwa wale waishio katika nyumba za udongo, ambao misingi yao ipo katika vumbi, wale waliopondwa mbele ya nondo?

1
04/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kati ya asubuhi na jioni wameangamizwa; wameangamia milele wala bila yeyote kuwatambua. \v 21 Je kamba za hema yao hazikung'olewa kati yao? Wanakufa; wanakufa bila hekima.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ita sasa; je kuna yeyote ambaye atakujibu? Utamrudia yupi katika watakatifu hao? \v 2 Kwa kuwa hasira huua mtu mpumbavu; wivu huua mjinga. \v 3 Nimemuona mtu mpumbavu akishika mzizi, lakini ghafla niliyalaani makazi yake.

1
05/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Watoto wake wako mbali na uzima; wameangamia langoni mwa mji. Hakuna yeyote atakaye waponya. \v 5 Mwenye njaa hula mavuno yao; hata huyachukua katikati ya miiba. Wenye kiu huzihemea mali zao.

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Kwa kuwa magumu hayatoki udongoni; wala taabu haichipuki katika nchi. \v 7 Badala yake, wanadamu huzaliwa kwaajili ya taabu, kama tu cheche za moto zirukavyo juu.

1
05/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Lakini kwa mimi, ningemrudia Mungu mwenyewe; kwake ningeaminisha kusudi langu - \v 9 yeye afanyae makuu na mambo yasiyochunguzika, mambo ya ajabu yasiyo na hesabu. \v 10 Hutoa mvua juu ya nchi, na huyapeleka maji mashambani.

1
05/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Hufanya haya kwaajili ya kuwainua juu hao walio chini; huwapandisha sehemu salama hao waombolezao. \v 12 Yeye huharibu mipango ya watu wenye hila, ili mikono yao isipate mafanikio. \v 13 Yeye huwanasa watu wenye hekima katika matendo ya hila zao wenyewe; mipango ya watu waliogeuzwa huharibika haraka.

1
05/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Wao hupatwa na giza wakati wa mchana, na hupapasa mchana kama vile ni usiku. \v 15 Lakini yeye huokoa maskini kwa upanga wa vinywa vyao na mhitaji kwa mkono wa mtu mwenye nguvu. \v 16 Hivyo mtu maskini ana matumaini, na udhalimu hufumba kinywa chake mwenyewe.

1
05/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Tazama, amebarikiwa mtu ambaye hutiwa adabu na Mungu; kwa sababu hiyo, usidharau uongozi wa Mwenyezi. \v 18 Kwa kuwa yeye hujeruhi na kisha huuguza; yeye hutia jeraha na kisha mikono yake huponya. \v 19 Yeye atakuokoa na mateso sita; kweli, katika mateso saba, hakuna uovu utakao kugusa.

1
05/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Wakati wa njaa atakukomboa na kifo, na kwa uwezo wa upanga wakati wa vita. \v 21 Wewe utafichwa na mateso ya ulimi; na usitishike na uharibifu utakapokuja. \v 22 Wewe utaufurahia uharibifu na njaa, na hutatishika na wanyama wakali wa nchi.

1
05/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Kwa kuwa wewe utakuwa na mapatano na mawe ya shambani mwako, na wanyama wa mwituni watakuwa na amani na wewe. \v 24 Wewe utajua kwamba hema lako lina usalama; utatembelea zizi la kondoo wako na hutakosa kitu chochote. \v 25 Pia utafahamu kwamba uzao wako utakuwa mwingi, na vizazi vyako vitakuwa kama nyasi ardhini.

1
05/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Wewe utafika kaburini kwako mwenye umri kamili, kama vile rundo la mashuke ya nafaka liendavyo juu wakati wake. \v 27 Tazama, tumelipeleleza jambo hili; ndivyo lilivyo; lisikie, na ulifahamu kwa ajili yako mwenyewe."

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "Oo, laiti maumivu yangu makubwa yangepimwa; laiti misiba yangu yote mikubwa ingewekwa kwenye mizani! \v 3 Kwa kuwa sasa ungekuwa mzito kuliko mchanga wa baharini. Kwa sababu hiyo maneno yangu yamekuwa ya haraka.

1
06/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kwa kuwa mishale ya Mwenyezi ipo ndani yangu, moyo wangu umelewa sumu; Vitisho vya Mungu vimejipanga vyenyewe dhidi yangu. \v 5 Je punda mwitu hulia akiwa na malisho? Au ng'ombe huwa dhaifu wakati wa njaa ambapo anachakula? \v 6 Je inawezekana kitu kisicho na ladha kulika bila chumvi? Au kuna radha yoyote katika ute mweupe wa yai?

1
06/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Nakataa kuvigusa; kwangu mimi vinafanana na chakula kichukizacho. \v 8 Oo, kama nigeweza kupata haja yangu; oo, kama Mungu angeridhia jambo nilitamanilo sana: \v 9 kama Mungu ingempendeza kuniangamiza mara moja, kwamba angeulegeza mkono wake na kuyakatilia mbali maisha yangu!

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Hii ingeweza kuwa faraja yangu hata sasa - hata kama nafurahia sana maumivu yasiyopungua: kwa kuwa sikuyakana maneno yake Mtakatifu. \v 11 Nguvu yangu ni ipi, hata nijaribu kusubiri? Mwisho wangu ni upi, utakao refusha maisha yangu?

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Je nguvu zangu ni nguvu za mawe? Au mwili wangu umeumbwa kwa shaba nyeusi? \v 13 Je si kweli kwamba sina msaada ndani yangu, na kwamba hekima imeondolewa mbali nami?

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kwa mtu ambaye yu karibu kuzirai, inapasa uaminifu uonyeshwe na rafiki zake; hata kwake yeye aachaye kumcha Mwenyezi. \v 15 Lakini ndugu zangu wamekuwa waaminifu kwangu kama mkondo wa maji jangwani, mfano wa mifereji ya maji ipitayo mpaka pasipo kitu, \v 16 ambayo imekuwa mieusi kwa sababu ya barafu juu yake, na kwa sababu ya theluji ambayo hujificha yenyewe ndani yake. \v 17 Wakati zikiyeyuka, hutoweka; kukiwa na joto, hutoweka mahali hapo.

1
06/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Misafara ambayo husafiri kwa njia yao hugeuka na maji; huzurura jangwani na kisha hupotea. \v 19 Misafara kutoka Tema huitazama, wakati majeshi ya Sheba huitarajia. \v 20 Wamevunjika moyo kwa sababu walitumaini kupata maji. Wakaenda huko, lakini walidanganywa.

1
06/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kwa sasa ninyi rafiki si kitu kwangu; mmeona hali yangu ya kutisha nanyi mwaogopa. \v 22 Je nilisema kwenu, 'Nipeni kitu furani?' Au, 'nitoleeni zawadi katika mali zenu?' \v 23 Au, 'Niokoeni toka mkononi mwa mtesi wangu?' Au, 'Nitoleeni fidia kwa watesi wangu?'

1
06/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Nifundishe, nami nitaishika amani yangu; nifanye nifahamu wapi nilipokosea. \v 25 Jinsi gani maneno ya kweli yanavyo umiza! Lakini hoja zenu, jee hasa zimenionya nini mimi?

1
06/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Je mnapanga kuyakemea maneno yangu, mnayachukulia maneno ya mtu mwenye kukata tamaa sawa na upepo? \v 27 Hasa, mna piga kura kwa ajili ya yatima, na kupatana bei juu ya rafiki yenu kama bidhaa.

1
06/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Sasa, kwa sababu hiyo, tafadhari nitazame, kwa hakika sitasema uongo usoni penu. \v 29 Rudini, nawasihi; lisiwepo neno la uonevu na nyinyi; Hasa, rudini, sababu zangu ni za haki. \v 30 Je mna uovu ulimini mwangu? Je kinywa changu hakiwezi kungundua madhara?

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Je mtu hana kazi ngumu juu ya nchi? Je siku zake si kama siku za mwajiriwa? \v 2 Kama mtumwa atamaniye sana kivuli cha jioni, kama mwajiriwa atafutaye ujira wake - \v 3 hivyo nami nimeumbwa kuvumilia miezi ya taabu; Nami nimepewa taabu - zimeujaza usiku.

1
07/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Hapo nilalapo chini, najiuliza mwenyewe, 'Lini nitatoka kitandani na lini usiku utatoweka?' Nimejawa na kujitupa huku na huko hadi mwanzo wa siku. \v 5 Mwili wangu umevikwa minyoo na madonda yenye vumbi; maumivu katika ngozi yangu yamekuwa magumu na kisha hutoweka na huendelea tena.

1
07/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Siku zangu zinakimbia kuliko chombo cha kufumia; zinapita bila tumaini. \v 7 Mungu, anakumbuka kwamba maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona mema tena.

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Jicho lake Mungu, huyo anionaye mimi, halitaniangalia tena; Macho ya Mungu yatanitazama, lakini sitakuwako. \v 9 kama vile wingu liishavyo na kutoweka, hivyo wale waendao sheoli hawatarudi tena kabisa. \v 10 Yeye hatarudi tena nyumbani kwake, wala mahali pake hapatamtambua tena.

1
07/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kwa sababu hiyo sitakizuia kinywa changu; Nitasema juu ya maumivu makubwa ya roho yangu; Nitanung'unika juu ya uchungu wa nafsi yangu. \v 12 Je mimi ni bahari au kiumbe cha kutisha baharini hata ukaweka mlinzi juu yangu?

1
07/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Hapo nisemapo, 'kitanda changu kitanifariji, na malazi yangu yatatuliza manung'uniko yangu,' \v 14 halafu unitishapo kwa ndoto na kunitisha kwa maono, \v 15 ili nichague kunyongwa na kufa kuliko kulinda mifupa yangu hii.

1
07/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Ninayachukia kabisa maisha yangu; sitamani siku zote kuwa hai; usinisumbue maana siku zangu hazifai. \v 17 Je mtu ni nini hata ukatia bidii kwake, na ukaweka akili yako kwake, \v 18 na kumwangalia kila asubuhi, na kumjaribu kila mara?

1
07/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Je itachukuwa muda gani kabla hujaacha kuniangalia, wala kunisumbua muda wa kutosha kwaajili ya kumeza mate yangu? \v 20 Hata kama nimefanya dhambi, itakusaidia nini, wewe ulindaye wanadamu? Kwa nini umenifanya shabaha yako, kiasi kwamba nimekuwa mzigo kwako?

1
07/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kwa nini hunisamehi makosa yangu na kuniondolea uovu wangu? kwa kuwa sasa nitalala mavumbini; na wewe utanitafuta kwa bidii, lakini sitakuwako."

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Bildadi huyo Mshuhi akajibu na kusema, \v 2 "hata lini wewe utasema mambo haya? Kwa muda gani maneno ya kinywa chako yatakuwa kama upepo wenye nguvu? \v 3 Je Mungu hupotosha hukumu? Je Mwenyezi hupotosha haki?

1
08/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Watoto wako wametenda dhambi dhidi yake; tunalifahamu hili, kwa kuwa amewatia mkononi kwa makosa yao. \v 5 Lakini wewe unaonaje ukimtafuta Mungu kwa bidii na kufikisha haja yako kwa huyo Mwenyezi.

1
08/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Ukiwa wewe ni msafi na mkamilifu, hakika angeamka mwenyewe kwa niaba yako na kukurudisha kwenye makazi ya haki yako. \v 7 Japokuwa huo mwanzo wako ulikuwa ni mdogo, hata hivyo hali yako ya mwisho itaongezeka sana.

1
08/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Tafadhari uwaulize vizazi vya zamani, na utie bidii katika hayo mababu zetu waliyojifunza. \v 9 (Sisi ni wa jana tu na hatujui chochote kwa kuwa siku zetu duniani ni kivuli). \v 10 Je hawatakufunza wao na kukuambia? Je hawatatamka maneno yatokayo mioyoni mwao?

1
08/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Je hayo mafunjo yaota pasipo matope? Je mafunjo yaota pasipo maji? \v 12 Wakati yakiwa bado ya kijani na hayajakatwa, hunyauka kabla ya mmea mwingine.

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Hivyo pia njia ya wote wamsahauo Mungu, na matumaini ya asiyeamini Mungu yatatoweka. \v 14 Ujasiri wake utavunjika, na matumaini yake ni dhaifu kama utando wa buibui. \v 15 Ataitegemea nyumba yake, lakini haitamsaidia; atashikamana nayo, lakini isidumu.

1
08/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Yeye huwa mti mbichi chini ya jua, na machipukizi yake huenea katika bustani yake yote. \v 17 Mizizi yake hujifunga funga kwenye rundo la mawe; huangalia mahali pazuri katikati ya mawe; \v 18 Lakini mtu huyu aking'olewa mahali pake, kisha mahali pale patamkana, na kusema, 'mimi sikukuona.'

1
08/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Tazama, hii ni "furaha" ya mtu mwenye tabia hiyo; mimea mingine itachipuka toka katika udongo ule ule mahali pake. \v 20 Tazama, Mungu hatamtupa mtu asiye na kosa; wala hatawathibitisha watendao uovu.

1
08/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Yeye atakijaza kinywa chako na kicheko, midomo yako na shangwe. \v 22 Wale ambao wanakuchukia wewe watavishwa aibu; nayo hema yake mwovu haitakuwepo tena.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha Ayubu akajibu na kusema, \v 2 "kweli najua kwamba ndivyo hivyo. Lakini ni kwa namna gani mtu anakuwa na haki kwa Mungu? \v 3 Kama akitaka kujibishana na Mungu, hatamjibu yeye mara moja katika elfu zaidi.

1
09/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Mungu ni mwenye hekima moyoni na ukuu katika nguvu; ni nani daima aliyejifanya mwenyewe kuwa mgumu dhidi yake na akafanikiwa? - \v 5 ambaye huiondoa milima bila kumtahadharisha yeyote wakati akiipindua katika hasira zake - \v 6 ambaye huitikisa nchi itoke mahali pake na mihimili yake hutikisika.

1
09/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Ni Mungu yule yule ambaye huliamuru jua lisichomoze, nalo halichomozi, na ambaye huzihifadhi nyota, \v 8 ambaye peke yake ni mwenye kupanua mbingu na kuyatuliza mawimbi ya bahari, \v 9 ambaye huumba Dubu, Orioni, kilima, na makundi ya nyota ya kusini.

1
09/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Ni Mungu yule yule atendaye mambo makuu, mambo yasiyofahamika - hasa, mambo ya ajabu yasiyohesabika. \v 11 Tazama, huenda karibu nami, na siwezi kumuona yeye; pia hupita kwenda mbele, lakini ni simtambue. \v 12 Kama akichukua kitu chochote, nani atamzuia? Nani awezaye kumuuliza, 'unafanya nini?'

1
09/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Mungu hataondoa hasira yake; wamsaidiao Rahabu huinama chini yake. \v 14 Je ni upungufu kiasi gani mimi nitamjibu, je nichague maneno kuhojiana naye? \v 15 Hata kama ni mwenye haki, nisingelimjibu; ningeomba msamaha tu kwa hukumu yangu.

1
09/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Hata kama ningelimwita na yeye akanitikia, nisingeamini kuwa ameisikia sauti yangu. \v 17 kwa kuwa yeye anidhoofishaye kwa dhoruba na kuyaongeza majeraha yangu pasipo sababu. \v 18 Yeye hataki hata kuniruhusu nipate kuvuta pumzi; badala yake, hunijaza uchungu.

1
09/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Kama ni habari ya nguvu, tazama! yeye ni mwenye uwezo! Kama ni habari ya haki, ni nani atakaye mhukumu? \v 20 Ingawa ni mwenye haki, kinywa changu mwenyewe kitanihukumu; na ingawa ni mtakatifu, maneno yangu yatashuhudia kuwa ni mwenye kosa.

1
09/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Mimi ni mtakatifu, lakini siijali zaidi nafsi yangu; Naudharau uhai wangu mwenyewe. \v 22 Haileti tofauti yoyote, kwa sababu hiyo nasema kwamba yeye huangamiza watu wasio na makosa na waovu pia. \v 23 Kama hilo pigo likiua ghafla, yeye atafurahi mateso yake mtu asiye na kosa. \v 24 Dunia imetiwa mkononi mwa watu waovu; Mungu hufunika nyuso za waamuzi wake. kama si yeye hufanya, ni nani basi?

1
09/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Siku zangu zinapita haraka kuliko tarishi akimbiae; siku zangu zinakimbia mbali; wala hazioni mema mahali popote. \v 26 Zinapita kama mashua zilizoundwa kwa mafunjo ziendazo kwa kasi, na zinakasi kama tai ashukaye upesi katika mawindo yake.

1
09/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Kama ni kisema kwamba mimi nitasahau kuhusu manung'uniko yangu, kwamba nitaacha kuonyesha sura ya huzuni na kuwa na furaha, \v 28 Mimi nitaziogopa huzuni zangu zote kwa sababu nafahamu kuwa hutanihesabu kuwa sina hatia. \v 29 Nitahukumiwa; kwa nini, basi, nitaabike bure?

1
09/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Kama najiosha mwenyewe kwa maji ya theluji na kuitakasa mikono yangu na kuwa safi zaidi, \v 31 Mungu atanitumbukiza shimoni, na nguo zangu mwenyewe zitanichukia.

1
09/32.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 32 Kwa kuwa Mungu si mtu, kama mimi, kwamba naweza kumjibu, hata tukaribiane katika hukumu. \v 33 Hakuna hakimu baina yetu awezaye kuweka mkono wake juu yetu sote.

1
09/34.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 34 Hakuna hakimu mwingine ambaye anaweza kuniondolea fimbo ya Mungu, awezaye kuzuia kitisho chake kisinitie hofu. kisha ningesema na nisimuogope. \v 35 Lakini kama mambo yalivyo sasa, sitaweza kufanya hivyo.

1
10/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Nimechoka na maisha yangu; Nitanena wazi manung'uniko yangu; nitasema kwa uchungu wa roho yangu. \v 2 Nitamwambia Mungu, 'Usinihukumie makosa; nionyeshe sababu za wewe kunilaumu mimi. Je \v 3 ni vizuri kwako wewe kunionea mimi, kudharau kazi ya mikono yako wakati unafurahia juu ya mipango ya waovu?

1
10/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Je wewe una macho ya kimwili? Je wewe unaona kama mtu aonavyo? \v 5 Je siku zako ni kama siku za wanadamu au miaka yako ni kama miaka ya watu, \v 6 hata ukauliza habari za uovu wangu na kuitafuta dhambi yangu, \v 7 ingawa wewe wafahamu mimi sina kosa na hapana mwingine awezaye kuniokoa mimi na mkono wako?

1
10/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Mikono yako imeniumba na kunifinyanga kwa wakati mmoja nawe kunizunguka, hata hivyo unaniangamiza. \v 9 Kumbuka, nakuomba, ulivyonifinyanga kama vile udongo; je utanirudisha mavumbini tena?

1
10/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Je wewe hukunimimina kama maziwa na kunigandisha mfano wa jibini? \v 11 Umenivika ngozi na nyama na kuniunganisha pamoja kwa mifupa na misuli..

1
10/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Wewe umenizawadia mimi uhai na ahadi ya upendeleo na usaidizi wako umeilinda roho yangu. \v 13 Hata hivyo mambo haya uliyaficha moyoni mwako - nafahamu kwamba hivi ndivyo ufikirivyo: \v 14 kuwa kama nimefanya dhambi, wewe utaizingatia; hutaniachilia na uovu wangu.

1
10/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Kama mimi ni muovu, ole wangu; hata kama ni mwenye haki, sitaweza kuinua kichwa changu, kwa kuwa nimejaa aibu na kuyaangalia mateso yangu. \v 16 Kama kichwa changu kikijiinua chenyewe, waniwinda kama simba; tena wajionyesha mwenyewe kuwa ni mwenye nguvu kwangu.

1
10/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Wewe unaleta mashahidi wapya dhidi yangu na kuzidisha hasira zako dhidi yangu; wanishambulia na majeshi mapya.

1
10/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kwa nini, basi, ulinitoa tumboni? Natamani ningekata roho na ili jicho lolote lisinione. \v 19 Ningelikuwa kama asiyekuwepo; ningelichukuliwa kutoka tumboni mpaka kaburini.

1
10/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Je si siku zangu pekee ni chache? Acha basi, usinisumbue, ili kwamba nipate kupumzika kidogo \v 21 kabla sijaenda huko ambako sitarudi, kwenye nchi ya giza na kivuli cha mauti, \v 22 ni nchi ya giza kama usiku wa manane, nchi ya kivuli cha mauti, isiyokuwa na mpangilio, ambayo nuru yake ni kama usiku wa manane.'"

1
11/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ndipo Sofari Mnaamathi alijibu na kusema, \v 2 " Huo wingi wa maneno haupaswi kujibiwa? Mtu huyu, aliyejaa maneno mengi awe wa kuaminiwa? \v 3 Kujivuna kwako kunapaswa kuwafanya wengine wabaki wamenyamaza? Wakati unapoyadhihaki mafundisho yetu, hakuna awaye yote atakayekufanya wewe ujisikie mwenye aibu?

1
11/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kwa kuwa wewe unasema kwa Mungu, 'Imani yangu ni safi, Mimi sina waa lolote machoni pako.' \v 5 Lakini, laiti, Mungu huyo angesema na kufungua midomo yake dhidi yako; \v 6 hivyo angekuonyesha wewe siri za hekima! Kwa kuwa yeye ni mkuu katika ufahamu. Tena tambua huyo Mungu anataka kutoka kwako kidogo kuliko uovu wako unavyostahili.

1
11/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Je, wewe unaweza kumfahamu Mungu kwa kumtafuta yeye? Unaweza kumtambua aliye mkuu kwa ukamilifu? \v 8 Upeo uko juu kama mbingu; unaweza kufanya nini wewe? Ni wenye kina kirefu kuliko kuzimu; waweza kufahamu nini wewe? \v 9 Vipimo vyake ni virefu kuliko nchi, na vipana kuliko bahari.

1
11/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 kama yeye akipita kati na kumyamazisha mtu yeyote, kama yeye akimwita mtu yeyote hukumuni, tena ni nani anayeweza kumzuia yeye? \v 11 Kwa maana anawajua watu waongo; wakati anapoona uovu, hawezi yeye kuukumbuka? \v 12 Lakini watu wapumbavu hawana ufahamu; wataupata wakati punda mwitu atakapozaa mtu.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More