diff --git a/07/01.txt b/07/01.txt index 95e413b..8193485 100644 --- a/07/01.txt +++ b/07/01.txt @@ -1 +1 @@ -\v 1 Je mtu hana kazi ngumu juu ya nchi? Je siku zake si kama siku za mwajiriwa? \v 2 Kama mtumwa atamaniye sana kivuli cha jioni, kama mwajiriwa atafutaye ujira wake - \v 3 hivyo nami nimeumbwa kuvumilia miezi ya taabu; Nami nimepewa taabu - zimeujaza usiku. \ No newline at end of file +\c 7 \v 1 Je mtu hana kazi ngumu juu ya nchi? Je siku zake si kama siku za mwajiriwa? \v 2 Kama mtumwa anayetamani sana kivuli cha jioni, kama mwajiriwa atafutaye ujira wake - \v 3 hivyo nami nimeumbwa kuvumilia miezi ya taabu; Nami nimepewa taabu - zimeujaza usiku. \ No newline at end of file