\v 11 Je ha mafunjo yaota pasipo matope? Je mafunjo yaota pasipo maji? \v 12 Wakati yakiwa bado ya kijani na hayajakatwa, hunyauka kabla ya mmea mwingine.