sw_job_text_reg/38/31.txt

1 line
285 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 31 Je unaweza kuzifunga minyororo nyota za Kilimia, au kuvifungua vifundo vya Orioni? \v 32 Je unaweza kuziongoza nyota kutokea katika nyakati zake? Je waweza kuongoza dubu pamoja na watoto wake? \v 33 Je unazijua sheria za anga? Wewe uliweza kuanzisha sheria za anga juu ya dunia?