sw_jhn_text_reg/21/22.txt

1 line
301 B
Plaintext

\v 22 Yesu akamjibu, "Kama nataka abaki mpaka nitakapokuja, hilo linakuhusu nini?" Nifuate." \v 23 Kwa hiyo habari hii ikaenea miongoni mwa wale ndugu, kwamba mwanafunzi huyo hatakufa. Lakini Yesu hakumwambia Petro kuwa, mwanafunzi huyo hafi, "Kama nataka yeye abaki mpaka nitakapokuja yakuhusu nini?"