sw_jhn_text_reg/21/20.txt

1 line
293 B
Plaintext

\v 20 Petro aligeuka na kumwona yule mwanafunzi ambaye Yesu alimpenda akiwafuata- Huyu ndiye aliyekuwa amajiegemeza kwenye kifua cha Yesu wakati wa chakula cha jioni na kumwuliza, "Bwana, ni nani atakayekusaliti?" \v 21 Petro alimwona na kisha akamwuliza Yesu, "Bwana, Huyu mtu atafanya nini?"