sw_jhn_text_reg/21/15.txt

1 line
400 B
Plaintext

\v 15 Baada ya kuwa wamefungua kinywa, Yesu akamwambia Simon Petro, "Simon mwana wa Yohana je, wanipenda mimi kuliko hawa?" Petro akajibu, "Ndiyo, Bwana; "Wewe wajua kuwa mimi nakupenda." Yesu akamwambia, "Lisha wanakondoo wangu." \v 16 Akamwambia mara ya pili, "Simon mwana wa Yona, je, wanipenda?" Petro akamwambia, "Ndiyo, Bwana; wewe wajua kuwa nakupenda. "Yesu akamwambia, "Chunga kondoo wangu."