sw_jhn_text_reg/21/12.txt

1 line
352 B
Plaintext

\v 12 Yesu akawaambia, "Njoni mpate kifungua kinywa." Hakuna hata mmoja wa wanfunzi aliyethubutu kumwuliza, "Wewe ni nani?" Walijua kuwa alikuwa ni Bwana. \v 13 Yesu akaja, akachukua ule mkate, kisha akawapa, akafanya vivyo hivyo na kwa wale samaki. \v 14 Hii ilikuwa mara ya tatu kwa Yesu kujidhihirisha kwa wanafunzi wake baada ya kufufuka toka wafu.