sw_jhn_text_reg/20/16.txt

1 line
428 B
Plaintext

\v 16 Yesu akamwambia, "Mariamu." Naye akageuka mwenyewe na kumwambia kwa Kiaramu, "Raboni,["yaani hii ni kusema, "Mwalimu."] \v 17 Yesu akamwambia, "Usiniguse, kwani bado sijapaa kwenda kwa baba; bali uende kwa ndugu zangu ukawaambie kuwa nitapaa kwenda kwa Baba yangu ambaye pia ni Baba yenu, Mungu wangu na Mungu wenu." \v 18 Mariamu Magdalena akaja na kuwaambia wanafunzi, "Nimemwona Bwana," na kwamba amemwambia mambo haya.