sw_jhn_text_reg/20/14.txt

1 line
310 B
Plaintext

\v 14 Alipokwisha sema hayo, aligeuka na kumwona Yesu akiwa amesimama. Lakini hakutambua kama huyo alikuwa Yesu. \v 15 Naye Yesu akamwambia, "Mama, kwa nini unalia? Unamtafuta nani?" Naye huku akidhani kuwa ni mtunza bustani akamwambia, "Bwana, kama ni wewe uliyemchukua, niambie ulikomweka, nami nitamchukua."