sw_jhn_text_reg/20/08.txt

1 line
252 B
Plaintext

\v 8 Ndipo yule mwanafunzi mwingine naye alipoingia ndani ya kaburi; akaona na kuamini. \v 9 Kwa kuwa hadi wakati huo walikuwa bado hawajayajua maandiko kwamba ilimlazimu Yesu afufuke tena katika wafu. \v 10 Kisha wanafunzi wakaenda tena nyumbani kwao.