sw_jhn_text_reg/20/03.txt

1 line
302 B
Plaintext

\v 3 Kisha Petro na yule mwanafunzi mwingine wakatoka, kuelekea kaburini. \v 4 Wote walipiga mbio kwa pamoja; yule mwanafunzi mwingine alikimbia kwa kasi zaidi ya Petro nakufika kaburini wa kwanza. \v 5 Akasimama na kisha kuangalia kaburini; akaiona ile sanda ya kitani imelala, lakini hakuingia ndani.