sw_jhn_text_reg/20/01.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 1 Mapema siku ya kwanza ya juma, kungali bado giza, Mariamu Magdalena alikuja kaburini; akaliona lile jiwe limeondolewa kaburini. \v 2 Kwa hiyo akakimbia mbio kwenda kwa Simon Petro na kwa yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, kisha akawaambia, "wamemchukua Bwana kaburini, nasi hatujui kule walikomlaza."