sw_jhn_text_reg/19/23.txt

1 line
424 B
Plaintext

\v 23 Baada ya askari kumsulibisha Yesu, walichukua mavazi yake na kuyagawa katika mafungu manne, kila askari fungu moja, vivyo hivyo na kanzo, Sasa ile kanzu haikuwa imeshonwa bali ilkuwa imefumwa yote tokea juu. \v 24 Kisha wakasemezana wao kwa wao, "Tusiipasue, bali tupigeni kura ili kuona itakuwa ya nani." Hili lilitokea ili lile andiko litimizwe, lile lisemalo waligawanya nguo zangu, na vazi langu wakalipigia kura."