sw_jhn_text_reg/18/38.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 38 Pilato akamwambia, "Kweli ni nini?" Naye alipokwisha sema haya akaenda kwa Wayahudi na kuwaambia "Siona kosa lolote katika mtu huyu. \v 39 Walakini, ninyi mna utamaduni unaonifanya nimfungulie mfungwa mmoja wakati wa Pasaka. Je mnataka nimfungulie mfalme wa Wayahudi." \v 40 Kisha walipiga kelele wakisema, siyo huyu, tufungulie Baraba." Naye Baraba alikuwa mnyang'anyi.