sw_jhn_text_reg/18/36.txt

1 line
481 B
Plaintext

\v 36 Yesu akajibu; "Ufalme wangu si wa ulimwengu huu, kama ufalme wangu ungekuwa na sehemu katika ulimwengu huu watumwa wangu wangenipigania ili nisitolewe kwa wayahudi. Kwa kweli ufalme wangu hautoki hapa" Basi \v 37 Pilato akamwambia, "Je, wewe basi u mfalme?" Yesu akajibu, "wewe ndivyo unanvyosema kuwa mimi ni mfalme, Kwa sababu hii mimi nilizaliwa na kwa sababu hii mimi nimekuja ulimwenguni ili niwe shahidi wa ile kweli. Yeyote aliye wa hiyo kweli huisikiliza sauti yangu.