sw_jhn_text_reg/18/31.txt

1 line
270 B
Plaintext

\v 31 Pilato akawaambia, "Mchukueni ninyi wenyewe, mkamhukumu kulingana na sheria zenu." Nao Wayahudi wakamwambia, "Sheria haituruhusu sisi kumwua mtu yeyote." \v 32 Walisema haya ili neno la Yesu litimilike, neno ambalo alikuwa amekwisha sema juu ya aina ya kifo chake.