sw_jhn_text_reg/18/28.txt

1 line
363 B
Plaintext

\v 28 Kisha wakamchukua Yesu toka kwa Kayafa mpaka kwenye Praitorio. Ilikwa asubuhi na mapema. Wao wenyewe hawakuiingia ile Praitorio ili wasije wakanajisika bali waweze kuila pasaka. \v 29 Kwa hiyo Pilato akawaendea akisema. "Ni shitaka gani mnalolileta kuhusu huyu mtu?" \v 30 Wakamjibu na kumwambia, "Kama huyu mtu asingekuwa mtenda maovu, tusingemleta kwako."