sw_jhn_text_reg/18/25.txt

1 line
381 B
Plaintext

\v 25 Sasa Simoni Petro alikuwa amesimama akijipasha joto mwenyewe. Halafu wale watu wakamwambia. "Je, wewe pia si mmoja wa wanafunzi wake?" Akakana akisema "Mimi siye." \v 26 Mmoja wa watumishi wa kuhani mkuu, ambaye alikuwa ndugu wa yule mwanaume ambaye Petro alimkata sikio, alisema, "Je si wewe niliyekuona naye kule bustanini?" \v 27 Petro akakana tena, na mara Jogoo akawika.