sw_jhn_text_reg/18/22.txt

1 line
372 B
Plaintext

\v 22 Yesu alipokwisha sema hivyo, mmoja wa maofisaa aliyekuwa amesimama akampiga kofi na kisha akasema, "Je, hivyo ndivyo inavyokupasa kumjibu kuhani mkuu?" \v 23 Naye Yesu akamjibu, "Kama nimesema jambo lolote baya basi uwe shahidi kwa ajili ya uovu, na kama nimemjibu vyema kwa nini kunipiga? \v 24 Ndipo Anasi alipompeleka Yesu kwa Kayafa kuhani mkuu akiwa amefungwa.