sw_jhn_text_reg/18/19.txt

1 line
372 B
Plaintext

\v 19 Kuhani mkuu alimhoji Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. \v 20 Yesu akamjbu, "Nimeuambia waziwazi ulimwengu; Mimi nilifundisha wakati wote kwenye masinagogi na hekaluni mahali ambapo wayahudi hukusanyika. Nami sikusema lolote katika siri. \v 21 Kwa nini mliniuliza? Waulizeni walionisikiliza juu ya kile nilichokisema. Tazama hawa watu wanajua niliyosema.