sw_jhn_text_reg/18/17.txt

1 line
360 B
Plaintext

\v 17 Basi yule kijakazi aliyekuwa akilinda mlango, alimwambia Petro, "Je wewe si mmoja wa wafuasi wa huyu mtu?" Naye akasema, "Mimi siye." \v 18 Na wale watumishi na wakuu walikuwa wamesimama mahali pale; wamekoka moto wa makaa kwa maana, kulikuwa na baridi, na hivyo walikuwa wakiota moto ili kupata joto. Naye Petro alikuwa nao, akiota moto akiwa amesimama.