sw_jhn_text_reg/18/10.txt

1 line
267 B
Plaintext

\v 10 Ndipo Simon Petro, aliyekuwa na upanga, akaufuta na kumkata sikio la kulia mtumishi wa Kuhani mkuu. Na jina lake mtumishi yule lilikuwa Malko. \v 11 Yesu akamwambia Petro, "Rudisha upanga wako kwenye ala yake. Kwa nini nisikinywee kikombe kile alichonipa Baba?"