sw_jhn_text_reg/16/29.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 29 Wanafunzi wake wakamwambia, "Unaona, sasa unaongea wazi wazi na hautumii mafumbo. \v 30 Sasa, tunajua kwamba unajua mambo yote, na hauhitaji mtu yoyote akuulize maswali. Kwa sababu hii tunaamini kuwa unatoka kwa Mungu. \v 31 Yesu akawajibu, "Sasa mmeamini?"