sw_jhn_text_reg/16/17.txt

1 line
259 B
Plaintext

\v 17 Baadhi ya wanafunzi wake wakaambiana, "Ni nini anachotuambia, "muda mfupi, na hamtaniona tena,' na, kisha, muda mfupi mtaniona,' na, 'kwa sababu naenda kwa Baba?" \v 18 Kwa hiyo wakasema, "Ni kitu gani anachosema, 'Bado muda mfupi'? Hatujui akisemacho."