sw_jhn_text_reg/16/05.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 5 Sasa naenda kwa yule aliyenituma; lakini hakuna kati yenu anayeniuliza, "Unaenda wapi?" \v 6 Kwa sababu nimesema maneno haya kwenu, huzuni imejaa mioyoni mwenu. \v 7 Hata hivyo, nawaambia ukweli: ni vyema kwenu nikiondoka; kwa maana nisipoondoka, Mfariji hatakuja kwenu; lakini nikienda ntamtuma kwenu.