sw_jhn_text_reg/15/20.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 20 Kumbukeni neno ambalo niliwaambia, 'Mtumwa si mkuu kuliko bwana wake.' Ikiwa walinitesa mimi, watawateseni ninyi pia; Kama walishika neno langu, watalishika la kwenu pia. \v 21 Watawatenda mambo haya yote kwa ajili ya jina langu kwa sababu hawamjui yule aliyenituma. \v 22 Kama nisingekuja na kuwaambia, wasingalikuwa na dhambi; lakini sasa hawana udhuru kwa dhambi yao.